Je Gavana Sonko atajimudu kuimarisha Jiji?

Spread the love

Kujiuzulu kwa naibu gavana wa Nairobi Polycarp Igathe kumepokelewa na hisia mseto huku wengi wakijiuliza iwapo gavana Mike Sonko atajimudu kuendeleza kaunti hii muhimu bila naibu wake msomi..

Wakati wa kampeini za kabla ya uchaguzi mkuu wa Agosti nane, Sonko alikiri kwamba yeye atahusika na masuala ya kisiasa ya kaunti huku igathe akijishughulisha na maendeleo na usimamizi wa kaunti.

Kujiuzulu kwa Igathe kumeanika wazi mianya iliyoko kwenye katiba hususan kuhusiana na wadhifa wa naibu gavana.

The post Je Gavana Sonko atajimudu kuimarisha Jiji? appeared first on Mediamax Network Limited.

MediaMax.co.ke

YOU WILL ALSO BE INTERESTED

Loading Facebook Comments ...

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading Disqus Comments ...

No Trackbacks.